Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahahahahahah kupata bwana si kazi kazi kuipata ndoa na kuilinda, Hata ukiipata ndoa kumbuka kuachika si kazi kubwa, kujilinda usiachike ndo kazi hasa, Tafuta jeshi wala haitachukua siku moja mbona huyo mtu ataachika tu 😛opcorn::coffee:
amu.
Yani mi hunioni hapa?
Asije akawa Paw wangu. Manake mwenzio mandieta na Mapolomoko wametuloga hadi wakachoka!
nipe mbinu maana nimeshindwa au nimpe mlungula Baba V awatenganishe,mi umia sana ujue
nimefurahi umecheka bibie umezidi kuwa mrembo
babu unatamani eeee halafu mie damu moto wa moto balaaa nitakutegua kiuno
ndo hivo mentor fanya probability though inaweza kuwa null proba
best njoo nikufinye sikio