zanzibardefi
JF-Expert Member
- Jul 8, 2013
- 283
- 43
Tayari upo ulishaanza kutumika kwa form four waliopata results this year...na utaendelea kwa form six wanaosubiri matokeo
sasa kwa wale ndugu zetu waliorisit masomo machache itakuaje hapo mkuu?na ili wafaulu na kupata chuo ni alama gani zitazingatiwa?
Hiyo ni kuanzia mwakani 2015 na waraka tayari upo mashuleni au nani kakuambia hayo?
Chuo ya chini kabisa ni C then 30% ni continous assesment na mthihani wa mwisho unaweight ya 70%
Chuo ya chini kabisa ni C then 30% ni continous assesment na mthihani wa mwisho unaweight ya 70%
sasa mkubwa let say nimepata D kwenye masomo yangu yote hapo nitaenda wapi? je ni fld,diploma au university
sasa mkubwa let say nimepata D kwenye masomo yangu yote hapo nitaenda wapi? je ni fld,diploma au university
Kwa advance adi upate C ndo utakuwa naprincipal coz C inaanzia 40-49' so ukiwa na D (30-39) ni pass
Mkata majani anahitajika mahali fulani.
Yaani ukae miaka minne shule then upange "D" mwanzo mwisho!!!!??
Kwa advance adi upate C ndo utakuwa naprincipal coz C inaanzia 40-49' so ukiwa na D (30-39) ni pass