zanzibardefi
JF-Expert Member
- Jul 8, 2013
- 283
- 43
Division zimefutwa saiv matokeo yanatoka kwa mfumo GPA ambapo imegawanyika kuna
1.distinction 3.7-5.0
2.merit 3.0-3.6
3.credit 1.7-2.9
4.pass 0.7-1.6
5.fail 0.0-0.6
na pass ni ufaulu wa chini na m2 anatakiwa kupata angalau daraja la D,C,B,B+,A ndo anakuwa kafaulu ikiwa na mfumo wa GPA daraja A=5,B+=4,B=3,C=2,D=1,E=0.5,F=0.na itaanza kutumika kwa matokeo ya mwaka huu form six.
😈😢