Wana jamvi hodi hapa kwenu.
Mie ni mgeni ila nimekuwa naperuzi kwa muda mrefu sana humu ndani kama mgeni leo nimeona sasa jiwe mwanachama. Naombeni mnipokee.
Naahidi kuwa mwanabodi mwema, na sitotumia lugha zozote mbaya ama kumdhalilisha mtu niwamo humu ingawa pia naheshimu sana uhuru wa kuongea. Ni muumini mzuri sana wa uhuru wa mtu, heshima ya mtu na kuthamini utu wa mtu.
Ahsanteni sana
Chioma