Mfatiliaji Senior Member Joined Mar 17, 2011 Posts 118 Reaction score 63 Oct 17, 2011 #21 Vin Diesel said: Wangeitwa wachache watu wangeanza lalamika humu ndani...mara udini...uchama nk... Click to expand... siyo mzima ww?
Vin Diesel said: Wangeitwa wachache watu wangeanza lalamika humu ndani...mara udini...uchama nk... Click to expand... siyo mzima ww?
kaygeezo Senior Member Joined Jul 31, 2008 Posts 193 Reaction score 10 Oct 17, 2011 #22 Vin Diesel said: Wangeitwa wachache watu wangeanza lalamika humu ndani...mara udini...uchama nk... Click to expand... hapana, Waitwe wachache na waendana na nafasi zilizotangazwa ,unawezaje ita 2500 watu kwa nafasi 12?...haileti maana
Vin Diesel said: Wangeitwa wachache watu wangeanza lalamika humu ndani...mara udini...uchama nk... Click to expand... hapana, Waitwe wachache na waendana na nafasi zilizotangazwa ,unawezaje ita 2500 watu kwa nafasi 12?...haileti maana
jipitishe Member Joined Sep 12, 2011 Posts 55 Reaction score 11 Oct 17, 2011 #23 UDOM walitaka kumpa opportunity kila mmoja so mauwezo yako ulionesha kwenye pepa ndo yatakutoa.....tusilalamike eti pepa ngumu, ingekuwa nyepesi angefeli nani na watu mko wengi.......
UDOM walitaka kumpa opportunity kila mmoja so mauwezo yako ulionesha kwenye pepa ndo yatakutoa.....tusilalamike eti pepa ngumu, ingekuwa nyepesi angefeli nani na watu mko wengi.......