Jamani Husninyo anatafuta mchumba

Jamani Husninyo anatafuta mchumba

Amechokaje kukumbatia midoli!!
hebu kamata fursa chap chap, nani kasema senior expert members wote tunamilikiwa!

sifa za anaetafutwa

1. asiwe na shida ndogo ndogo za kifedha, mwenyewe nna zangu.
2 amzidi husninyo elimu, usiogope sana nina kidigrii tu cha hapa hapa ndani
3. anizidi kipato, usiogope sana, mkoloni wangu baba yake mchaga mama yake muhindi.
4. anizidi urefu
5. anizidi umri............. tafwadhali usiwe kibabu
6 asiwe na pozi, mtoto wa kiume hutakiwi kuwa na mbwembwe

Maombi yako yaambatane na maelezo ya kujitosheleza, kucheki afya muhimu. nipo serious msilete utani. uwiiiiii usingle girl unaniua.
:closed_2::closed_2::closed_2::closed_2:
 
nakumbuka ofa yako. tatzo we kibabu... mi staki vibabu mwenzio.

Eh Kumbe zomba ni kibabu? au ndie Kapuya? Kuwa Makini Husninyo ana umeme huyo atakuunganisha kwenye gridi ya Taifa
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom