Baba lao, mfalme wao, kaka yao.Nipe mapenzi ya kweli, Na kisima cha Kijiji nikiwekee uzio, Najua wanipenda mimi mwana wa mwenzio
Umeongea kweli, hapo anapuyanga ndio mana yamoto ulikua ukiwaskia unawakubali changanya notes 4.akiwa peke yake wote hawawezi.Matumizi ya high notes all the time wengine tuna perceive kelele all through!!..Ajaribu na low key notes kutumia!..
Pale aliposemaKipindi ametoka na ngoma zake mbili za kwanza 'Libebe' na 'Sikinai' nilihisi amebahatisha hivyo sikumpa attention kubwa kivile, ila kwa sasa nimejisajili kuwa fan wake rasmi, this man is [emoji91] [emoji91] [emoji91], anajua mnoo.
Mpangilio wa mashairi uko njema, melody tamu, sauti ndio usiseme (anafanana na Mwinjuma Muumin sauti na sura).
Hadi sasa nimegundua Yamoto band ilikuwa na vichwa viwili hatari sana (Aslay na Beka), namtakia kila la heri kwenye muziki wake...
Pale aliposema
"nyama ya kangaroo ukinipa nala"
Alikuwa na maaana ipi mkuu,