screpa
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 10,857
- 15,866
Kipindi ametoka na ngoma zake mbili za kwanza 'Libebe' na 'Sikinai' nilihisi amebahatisha hivyo sikumpa attention kubwa kivile, ila kwa sasa nimejisajili kuwa fan wake rasmi, this man is [emoji91] [emoji91] [emoji91], anajua mnoo.
Mpangilio wa mashairi uko njema, melody tamu, sauti ndio usiseme (anafanana na Mwinjuma Muumin sauti na sura).
Hadi sasa nimegundua Yamoto band ilikuwa na vichwa viwili hatari sana (Aslay na Beka), namtakia kila la heri kwenye muziki wake...