Jamani huyu Beka Flavour ni hatari

Jamani huyu Beka Flavour ni hatari

Matumizi ya high notes all the time wengine tuna perceive kelele all through!!..Ajaribu na low key notes kutumia!..
Hilo ni kweli, ila nadhani linarekebishika
 
Ukiwa mtu wa mapenzi mapenzi sana utamkubali ila kama kupenda kwako sio issue unakuwa unahic jamaa kama anapiga kelele tu
 
Nipe mapenzi ya kweli, Na kisima cha Kijiji nikiwekee uzio, Najua wanipenda mimi mwana wa mwenzio
Umechemka Hugo alikua ni Maromboso yeye aliingia baki na mimi Mimi wengine wanininini.....
 
Nipe mapenzi ya kweli, Na kisima cha Kijiji nikiwekee uzio, Najua wanipenda mimi mwana wa mwenzio
Umechemka Hugo alikua ni Maromboso yeye aliingia baki na mimi Mimi wengine wanininini.....
 
Anajua Kuimba Ndiyo Na Ni Hatari Kama Usemavyo!
Ajaribu Kudhibiti Sauti Yake Ni Kali Sana, Wengine Tunaonaga Anapiga Kelele.
 
APUNGUZE SAUTI

PILI ATAFUTE MENEJA ANAYEJIELEWA

MUZIKI WA SASA NI PESA SYO MISIFA
 
Beka Flavor nilimkubali tangia akiwa Yamoto na binafsi naamini Aslay ana nyota lakini mbele ya Beka Flavor anasubiri!

Hata hawa wakali wetu akina Chibu na Kiba; kwangu wanasubiri mbele ya Beka Flavor! Jamaa ana vocal za hatari hadi naogopa!!

Pale alipo anatakiwa kufanya marekebisho kidogo sana na baada ya hapo; tungekaa tu kusubiri another international.

Swagga hana hapo ndio kafeli uwezi muuza akauzika
 
Back
Top Bottom