MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,113
- 65,124
Umeiangalia yotee Mambembe ???Ilaaa mbonaa kawaidaa au tunatofautiana kwenye haya mambo vichekesho karibu vyote wanavirudiaa
Sense of humor inatofautiana kwa mtu na mtu mfano kuna watu wanacheka wakimsikiliza Mc Pilipili au Omondi lakini mimi hao watu hawajanishikaIlaaa mbonaa kawaidaa au tunatofautiana kwenye haya mambo vichekesho karibu vyote wanavirudiaa
Same here plus idrisSense of humor inatofautiana kwa mtu na mtu mfano kuna watu wanacheka wakimsikiliza Mc Pilipili au Omondi lakini mimi hao watu hawajanishika
Huyo pia hamna kituSame here plus idris
Yes dear nahisi kwasababu nimevizoeaa hivi vichekeshoUmeiangalia yotee Mambembe ???
Huyo pilipili ndio bure kabisa...Sense of humor inatofautiana kwa mtu na mtu mfano kuna watu wanacheka wakimsikiliza Mc Pilipili au Omondi lakini mimi hao watu hawajanishika
Aisee mimi binafsi nimecheka sana kwenye kichapo cha mama!Yes dear nahisi kwasababu nimevizoeaa hivi vichekesho
kweli mkuu, hao jamaa hawajawahi nichekesha hata kdogo, wanazidiwa na comment za humu Jf atleast huwa znanichekesha.Sense of humor inatofautiana kwa mtu na mtu mfano kuna watu wanacheka wakimsikiliza Mc Pilipili au Omondi lakini mimi hao watu hawajanishika
mimi nilikuwaga nacheka kipindi cha vioja mahakamani wakina Makoha, alexander, kokoto, ondieki na wengine wengi wa vioja mahakamani.
walikuwa wanafanya serious comedy zenye mafunzo ndani yake.
yaani unajifunza sheria na unavunjwa mbavu.
credit kwao aisee, siku hizi hawaoneoni kabisa.
Aisee nimejikuta nacheka tu kwa kumuangalia hasa kwenye Viboko vya maza!Jamaa wa pili yuko vizuri mtoto wa mama mboya, sio mijinga mingine halijachekesha linacheka lenyewe kulazimisha.
Jangala na bintiye yule tomato,pwagu na pwaguzi ilikua funga breki,siku hizi mara pilipili, masanja hamna kitu pale Idris ndio kabisa sijui anafanya nini. Bora kingwendu,MajutoHivi kuna wale wa Vitimbi wakina Masakuu unawakumbuka ???
kipindi cha nyuma alikuwa vizuri sana,lakini siku hizi naona anaanza kuwa wa kawaida, sijui amelewa sifa au ubunifu umepungua.MCA trick wa Kenya ndiye mambo yote, Ni noma balaa - nakushauri umtafute u-tube
Vioja kuna siku walinichekesha sana.mimi nilikuwaga nacheka kipindi cha vioja mahakamani wakina Makoha, alexander, kokoto, ondieki na wengine wengi wa vioja mahakamani.
walikuwa wanafanya serious comedy zenye mafunzo ndani yake.
yaani unajifunza sheria na unavunjwa mbavu.
credit kwao aisee, siku hizi hawaoneoni kabisa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna muda nilikuwa nacheka Idriss sultan akichekesha but deep down nilikuwa namcheka they way ambavyo jokes zake sio funny. Yaani namcheka vile hachekeshi.
At least huyu anajitahidi!