Jamani huyu comedian wa wapi ?? Nimecheka sana aisee, anajitahidi

Ilaaa mbonaa kawaidaa au tunatofautiana kwenye haya mambo vichekesho karibu vyote wanavirudiaa
Sense of humor inatofautiana kwa mtu na mtu mfano kuna watu wanacheka wakimsikiliza Mc Pilipili au Omondi lakini mimi hao watu hawajanishika
 
Huyo pilipili ndio bure kabisa...
Hata uemc hauwezi analazimisha tu!
 
mimi nilikuwaga nacheka kipindi cha vioja mahakamani wakina Makoha, alexander, kokoto, ondieki na wengine wengi wa vioja mahakamani.

walikuwa wanafanya serious comedy zenye mafunzo ndani yake.

yaani unajifunza sheria na unavunjwa mbavu.

credit kwao aisee, siku hizi hawaoneoni kabisa.
 
Hivi kuna wale wa Vitimbi wakina Masakuu unawakumbuka ???
 
mimi nilikuwaga nacheka kipindi cha vioja mahakamani wakina Makoha, alexander, kokoto, ondieki na wengine wengi wa vioja mahakamani.

walikuwa wanafanya serious comedy zenye mafunzo ndani yake.

yaani unajifunza sheria na unavunjwa mbavu.

credit kwao aisee, siku hizi hawaoneoni kabisa.
Vioja kuna siku walinichekesha sana.
Marehemu kafa wakamkagua wakakuta nyeti haipo. Sasa wanaitafuta ilipo ili asiulizwe kwa mungu
 
Back
Top Bottom