Jamani huyu comedian wa wapi ?? Nimecheka sana aisee, anajitahidi

Nimetumiwa na mtu hii link na nikacheka sana nlivyoangalia mpaka mwisho,....Daaah Big Up sana Coy Mzungu umetuletea kipaji kizuri mjini aisee!

CC: Palantir , hearly , Humble African, Red Giant , zitto junior

Ameharibu mwisho ni
 
Vioja kuna siku walinichekesha sana.
Marehemu kafa wakamkagua wakakuta nyeti haipo. Sasa wanaitafuta ilipo ili asiulizwe kwa mungu
hawafai wale unaweza ukawa unacheka kama mwehu.

makoha na mwenzake richot ambaye alikuwa akifanya kazi mochwari kama funeral driver alicheza dili na kuuza sehemu nyeti za maremu.

hahahaha eti inawesekanaje mimi Mwanaume kama mimi nikatoe ile kitu niipeleke wapii.
 
kweli mkuu, hao jamaa hawajawahi nichekesha hata kdogo, wanazidiwa na comment za humu Jf atleast huwa znanichekesha.
kwakweli "" usipochekeshwa na comments za Humu hutokuja kucheka tena
 
Makoha na alexander wana kipindi dstv sema nimesahu jina lake yaaan wanaichekeshagaa saanaa saanaa
 
Mimi mpaka sasa nacheka komenti zenu tu hiyo video sijaifungia kabisa..!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…