D
Deleted member 485868
Guest
Sifa zikizidi napo ni shida mkuu..kipindi cha nyuma alikuwa vizuri sana,lakini siku hizi naona anaanza kuwa wa kawaida, sijui amelewa sifa au ubunifu umepungua.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sifa zikizidi napo ni shida mkuu..kipindi cha nyuma alikuwa vizuri sana,lakini siku hizi naona anaanza kuwa wa kawaida, sijui amelewa sifa au ubunifu umepungua.
Nimetumiwa na mtu hii link na nikacheka sana nlivyoangalia mpaka mwisho,....Daaah Big Up sana Coy Mzungu umetuletea kipaji kizuri mjini aisee!
CC: Palantir , hearly , Humble African, Red Giant , zitto junior

nakumbuka vyema wakina mama kayai, marehem mzee oduwangHivi kuna wale wa Vitimbi wakina Masakuu unawakumbuka ???
hawafai wale unaweza ukawa unacheka kama mwehu.Vioja kuna siku walinichekesha sana.
Marehemu kafa wakamkagua wakakuta nyeti haipo. Sasa wanaitafuta ilipo ili asiulizwe kwa mungu
Huyo "" ndio sitakagi hata kumsikiaSame here plus idris
hahahaaHuyo pilipili ndio bure kabisa...
Hata uemc hauwezi analazimisha tu!
Nimetumiwa na mtu hii link na nikacheka sana nlivyoangalia mpaka mwisho,....Daaah Big Up sana Coy Mzungu umetuletea kipaji kizuri mjini aisee!
CC: Palantir , hearly , Humble African, Red Giant , zitto junior
kwakweli "" usipochekeshwa na comments za Humu hutokuja kucheka tenakweli mkuu, hao jamaa hawajawahi nichekesha hata kdogo, wanazidiwa na comment za humu Jf atleast huwa znanichekesha.
hatari sana " hao watu "" usipocheka " hutocheka tenanakumbuka vyema wakina mama kayai, marehem mzee oduwang
kabisa mkuuhatari sana " hao watu "" usipocheka " hutocheka tena
Makoha na alexander wana kipindi dstv sema nimesahu jina lake yaaan wanaichekeshagaa saanaa saanaamimi nilikuwaga nacheka kipindi cha vioja mahakamani wakina Makoha, alexander, kokoto, ondieki na wengine wengi wa vioja mahakamani.
walikuwa wanafanya serious comedy zenye mafunzo ndani yake.
yaani unajifunza sheria na unavunjwa mbavu.
credit kwao aisee, siku hizi hawaoneoni kabisa.
hawajawahi niacha salama salamini hao jamaaMakoha na alexander wana kipindi dstv sema nimesahu jina lake yaaan wanaichekeshagaa saanaa saanaa
Aisee nimejikuta nacheka tu kwa kumuangalia hasa kwenye Viboko vya maza!