Simba wa Arusha
Member
- Nov 29, 2016
- 48
- 39
Jamani kama kuna mtu anae jua njia za ku mpata huyu dada anisaidie.
Mana kama sifa zote ninazo za kuwa nae.
Naweza honga hata pesa ya kupiga nae picha tu kama hatonipenda.
Nigeria hukoni wa wapi.......?....niambie alipo nikuunganishie..........
Nigeria huko
haha..ni wa wapi.......?....niambie alipo nikuunganishie..........
Oga is thinking in a Niger way.Oga! You're not serious. It's 2016 and you don't know how link up with an artist?
Kwani kuuliza nikosaa.!!??Oga! You're not serious. It's 2016 and you don't know how link up with an artist?
Kwani kuuliza nikosaa.!!??
Hautumii fursa zako kujitangaza tukuoneeembona warembo zaidi tupo au?
Jombaaaa hizo Twitter Facebook Instagram zote zinakuwa control na ma director wakeeUmekuja kuwa niaje eroo? Hujawahi kusikia Twitter/gram? Unatuabisha arif.