Jamani huyu dada anaitwa Chidinma nampenda kuliko maelezo

Jamani huyu dada anaitwa Chidinma nampenda kuliko maelezo

Mnaigeria huyu mwaga mpunga nikupe number zake now yuko powaa Sanaa in terms of communication hata ukimuibukia kwenye simu ila huongea kiingereza cha kinigeria kama vile Kuna ugomvi na mtu
Kaka uliwahi bonga nae!!??
 
Nilipomwona kwenye perfect combo ahh kweli anatabasamu moja matata
 
Back
Top Bottom