Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,797
- 28,904
Yeye anajua kuwa unampenda?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na mm nilimpenda kabla yako kwenye ile nyimbo na Mr. FlavourMi ntakuwa nilianza kumpenda kabla yako!
Ndio raha ya kuwa na Dada muelewa! Hahahahahahahaaaaani wa wapi.......?....niambie alipo nikuunganishie..........
Aisee nmeona hicho kitu ngoja nikufungulie thread kwaajili yakombona warembo zaidi tupo au?
ObsessionJamani kama kuna mtu anae jua njia za ku mpata huyu dada anisaidie.
Mana kama sifa zote ninazo za kuwa nae.
Naweza honga hata pesa ya kupiga nae picha tu kama hatonipenda.![]()
![]()
![]()
Usijali jitahidi tuu ndugu yangundo nimeanza mdogo mdogo
kitu ganiAisee nmeona hicho kitu ngoja nikufungulie thread kwaajili yako
Ndioo bora unifumbueeeMbona wa kawaida.kweli mapenzi ni upofu.
Nyimbo gani hiyoo boiNa mm nilimpenda kabla yako kwenye ile nyimbo na Mr. Flavour
Kitu zaidi ya chidibenznmakitu gani
Ana kawimbo kanaitwa Kedke huwa kananikosha sanaJamani kama kuna mtu anae jua njia za ku mpata huyu dada anisaidie.
Mana kama sifa zote ninazo za kuwa nae.
Naweza honga hata pesa ya kupiga nae picha tu kama hatonipenda.![]()
![]()
![]()
Kali sana hiyo..naiangalia kila sikuAna nyimbo kali sana, tafuta nyimbo moja hv inaitwa kedike.
Kweli kabisaMbona uko arusha wamejaa wengi tu warembo zaid ya uyo mnaigeria? ?
Inaitwa babyNyimbo gani hiyoo boi
Hapana, yule ni mwinginehuyo ndo yule dada aliyemuimbia mtoto wake ooh baby ooh baby