Jamani huyu dada anaitwa Chidinma nampenda kuliko maelezo

Jamani huyu dada anaitwa Chidinma nampenda kuliko maelezo

Kama huyu nilimuona Mwanjelwa mbeya nadhani atakuwa pacha wake
 
umesema huyo dada ni mzuri!!!
sawa. Taarifa za utafiti kuhusu chura umezipata lakini mkuu!!!
 
Na mm nilimpenda kabla yako kwenye ile nyimbo na Mr. Flavour

Kumbe na wewe ulianza kumpenda juzi, mimi nilianza kumpenda tangu wimbo wake wa kwanza kabisa wa Jankoliko
 
Jamani kama kuna mtu anae jua njia za ku mpata huyu dada anisaidie.
Mana kama sifa zote ninazo za kuwa nae.
Naweza honga hata pesa ya kupiga nae picha tu kama hatonipenda.
1e24b767b2dbf46ce4e6c1a69da83340.jpg
216300f5a4299492aa4c0e0f35b973ee.jpg
2f365939ef4feeb5dc31646c4361775c.jpg
Kwel ww jamaa n noma sana unajua.... [HASHTAG]#Kizur[/HASHTAG] n kizur na chenye ubora n bora#
 
Mnaigeria huyu mwaga mpunga nikupe number zake now yuko powaa Sanaa in terms of communication hata ukimuibukia kwenye simu ila huongea kiingereza cha kinigeria kama vile Kuna ugomvi na mtu
 
"ngololo ngololo oh",
"ngololo ngololo enhe"
"ngololo ngololo eiyeee"
mie napapendea hapo tu!
Naipenda sana nyimbo yake "Fallin in Love!"
 
Back
Top Bottom