Jamani huyu msichana mie simuelewi. Naombeni ushauri

Isee hii story bila video hainogi,,, tupia kavideo kidogo tujionee uhalisia mkuu ili nasi tumuelewe kwanza alaf ndo tukushauri chakufanya kama humuelewi (true love is so hard to find, no money no love, work hard earn more money,, philosophically a woman is a dynamic creature hard to understand what woman wants, what do they think and why do they act so in a permanent world)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alikua anakuenjoy tu wala hana time na ww kuna kidume knasimamia ukucha apo
 
anataka attention yako cha msingi jifanye kauzu ndo utafaidi hivi viumbe
 
Wahenga wlisema fimbo ya mbali haiuwi nyoka,fanya kazi huyo ana bhana na alitaka tu akuchene kipindi yuko field ila hakuna upendo hapo jiongeze mtoto wa kiume

Sent using Jamii Forums mobile app
 
utakuwa unakimavi mkuu.....haiwezekani wewe tu ndo ukawa anakataliwa na wanawake tu
 
Tunawapoteza marafiki zetu wa karibu kwa kuwafanya wapenzi broo unafeli mbona hivyo ni viyu vya kawaida huo utani tu demu anayekutaka seriuoz haaniki hisia kama mpunga wa ifakara
 
Dah.!
Pole sana mkuu..inaonekana una gundu au huna mvuto kabisa kwa wasichana hivyo komaa kutafuta hela ukizipata mademu wote watakuita handsome hata kama una sura mbaya kama ya yule mzee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hongera sana
 
Bila shaka sasa umeshamsahau na yale maumivu hayapo tena, na ukikumbuka ulivyokuwa unam-fell bc sasa hv utajiona ulikuwa fala sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…