Mulangila Mukuru
JF-Expert Member
- Feb 24, 2010
- 1,945
- 728
- Thread starter

- #21

Muangila pole saana.... Umeoa tu mmoja wa wale watu ambao wana daily

mood swings na mara nyingi kumrekebisha kazi ipo for sio voluntary...

Kwa maana nyingine possibility ya yeye kubadilika kazi ipo...

Mdekeza bana mamaaa

Mmbembelezeeeee..

Mmmhhh atajiachia tu..

Si kwamba huwa hachangamki kuna wakati anakuwa happy huwezi amini tatizo hata hata ukimtania kimahaba yeye ananuna

itakuwa mtoto sio wako maana kwanzia mimba ananuna
Jamani wadau mi ninawife ambaye tumefunga naye ndoa km 2yrs now na tuna mtoto mmoja.
Tatizo wife wangu anapenda sana kununa hata kwa vitu vidogo na hii tabia ameianza wakati akiwa mjamzito haikukoma hadi leo,nimejaribu kukaa naye nikamshauri inakuwa kazi bure,inaweza kumaliza wiki amenuna tu .kwa ujumla tabia hii inanikera sana napenda kufurahia ndoa yangu lakini waifu ananiboa sana ingawa nampenda sana.Nisaidieni mawazo naona ndoa yangu ipo hatarini.

Hii inatokea sana kwa hawa watani wa jadi. Kwa mjamzito inaeleweka ila kwa ambaye siyo mjamzito kuna walakini kidogo. Mimi huwa naichukulia kama ni "multiple visa" na huwa inanipa muda mzuri wa kutoka na kuingia ndani ya nyumba bila kuulizwa ulizwa kwani akinuna huwa hapigi simu kuuliza nipo wapi na ninafanya nini. Lakini vilevile inanipa muda wa kutafakari mambo yangu bila kelele za mtani wangu wa jadi. Nilichogundua mapema ni kuwa mara nyingi akiwa amenuna hamuwezi hata kufanya "discussion" ya maana kwani inaishia kwenye kulaumiana tu na kupigishana kelele. Hivyo huwa nampa muda wa kutosha kununa mpaka hasira ziishe kabisa ili tuweze kuongea kwa busara zaidi kwani hata mimi lile somo la kuvumilia kupigiwa makelele, masimango na kashfa nilifeli. Kwa taarifa tu nina zaidi ya miaka kumi na huyu mtani wa jadi na sina mpango wowote wa kumwongezea mpinzani kwa sura ya mke wala nyumba ndogo.

Jaribu kuwa mcheshi. Halafu usioneshe kujali sana hiyo hali yake ununifu. Anza kuwa mtani kwake mpaka uwe kero kidogo. Ataachia tu mwisho wa siku. Endelea kuwa hivo.
Hapo ndio penye tatizo, huenda wewe hukupata mafundisho vizuri ya ndoa au umepata ila ulijisahau. Mwanamke anapokuwa mjamzito (sio wote) kuna baadhi ya tabia hubadilika, anaweza kuwa mkali, akamchukia mtu hata wewe mwenyewe, akapenda sana vitu fulani ambavyo hakuwa anavipenda before, anaweza akawa ananuna nuna mara kwa mara inategemea mimba imempelekaje. So wewe ndio unatakiwa uwe faraja kwake na ujue hiyo hali ni kwa ajili ya mimba tu na si vinginevyo. Sasa unapaswa pia kuvuta subira mara baada ya kujifungua maana hiyo hali haiishi mara moja tu baada ya kujifungua, inachukua muda kidogo (pia hutegemea na mtu na mtu)Jamani wadau mi ninawife ambaye tumefunga naye ndoa km 2yrs now na tuna mtoto mmoja.
Tatizo wife wangu anapenda sana kununa hata kwa vitu vidogo na hii tabia ameianza wakati akiwa mjamzito haikukoma hadi leo,nimejaribu kukaa naye nikamshauri inakuwa kazi bure,inaweza kumaliza wiki amenuna tu .kwa ujumla tabia hii inanikera sana napenda kufurahia ndoa yangu lakini waifu ananiboa sana ingawa nampenda sana.Nisaidieni mawazo naona ndoa yangu ipo hatarini.

Hapo ndio penye tatizo, huenda wewe hukupata mafundisho vizuri ya ndoa au umepata ila ulijisahau. Mwanamke anapokuwa mjamzito (sio wote) kuna baadhi ya tabia hubadilika, anaweza kuwa mkali, akamchukia mtu hata wewe mwenyewe, akapenda sana vitu fulani ambavyo hakuwa anavipenda before, anaweza akawa ananuna nuna mara kwa mara inategemea mimba imempelekaje. So wewe ndio unatakiwa uwe faraja kwake na ujue hiyo hali ni kwa ajili ya mimba tu na si vinginevyo. Sasa unapaswa pia kuvuta subira mara baada ya kujifungua maana hiyo hali haiishi mara moja tu baada ya kujifungua, inachukua muda kidogo (pia hutegemea na mtu na mtu)

Kwa hiyo nakushauri mvumilie tu itaisha tu baada ya muda fulani hasa kama hakuwa hivyo mwanzo, pia muonyeshe upendo zaidi kipindi hiki alichojifungua huenda pia wewe hauko karibu naye kwa sababu yeye yuko busy na mtoto, jichunguze na wewe pia
Jamani wadau mi ninawife ambaye tumefunga naye ndoa km 2yrs now na tuna mtoto mmoja.
Tatizo wife wangu anapenda sana kununa hata kwa vitu vidogo na hii tabia ameianza wakati akiwa mjamzito haikukoma hadi leo,nimejaribu kukaa naye nikamshauri inakuwa kazi bure,inaweza kumaliza wiki amenuna tu .kwa ujumla tabia hii inanikera sana napenda kufurahia ndoa yangu lakini waifu ananiboa sana ingawa nampenda sana.Nisaidieni mawazo naona ndoa yangu ipo hatarini.
Hivi da Asha mtu kama huyu akiwa raisi kuna weza kuwa na athari zipi?? Nina maana mke wa huyu jamaaaMuangila pole saana.... Umeoa tu mmoja wa wale watu ambao wana daily
mood swings na mara nyingi kumrekebisha kazi ipo for sio voluntary...
Kwa maana nyingine possibility ya yeye kubadilika kazi ipo...

Asante dadangu kwa ss mtoto ana 15months ..ntaufanyia kazi ushuri wako nilitaka nimtwange mimba nyingine ila naogopa sana.
ehh ata kumtwanaga mimba amshauriani?
ni wewe2 unaamua ngoja nimtwange limimba sasa..duhh apa nimeona tatizo..wewe una udumelism labda..kedekeza ni kuchache thats y bibie ananuna tu...aujawa fun kwake...
MIMBA SIKU IZI NI SWALA LA MAJADILIANO SIO KWAMBA WEWE TU NDO UNAAMUA..