Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,872
- 34,363
Kichwa cha huyo mtu kiko tofauti na mwili. kichomekwa tu hapo juu. kwa hiyo hao ni watu wawili tofauti
anaweza kuwa ni mwanaume kwani kuna hali inawapata baadhi ya wanaume kuwa na matiti (gynaecomastia) kutokana na kutumia madawa fulani.
Vile vile huenda ni watu wawili tofauti,kichwa cha mwanaume kimechomekwa kwenye shingo la mwanamke, ni utundu tu wa computer,graphics, kwa kuona zaidi graphics inavyofanya kazi tembelea freakingnews.com - news photoshop pictures contests - home page