Jamani huyu ni mwanmme au mwanamke?

Jamani huyu ni mwanmme au mwanamke?

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
42,872
Reaction score
34,363
<input id="post_form_id" name="post_form_id" value="330bfc4b55c8b4e90e66fb05f9397e46" autocomplete="off" type="hidden"><table><tbody><tr><td align="center" width="100%">
</td><td valign="middle"><label class="caption_save uiButton uiButtonDefault uiButtonMedium" id="done_tagging"><input value="Done Tagging" onclick="PhotoPageTags.hideTaggingUI();" type="submit"></label></td></tr></tbody></table>



JAMANI HUYU MWANAMME AU MWANAMKE? NAOMBA JIBU KWENU
 
huyu ni kidume, anapiga nondo saana, misuli imetoka shingoni na kifuani, ni mazoezi mengi ya kubeba vitu vizito ndo yameufanya mwili wake kuwa hivyo!
 
kama unafanya multimedia unajitahidi keep it up
 
Kichwa cha huyo mtu kiko tofauti na mwili. kichomekwa tu hapo juu. kwa hiyo hao ni watu wawili tofauti
 
Anaweza kuwa ni mwanaume kwani kuna hali inawapata baadhi ya wanaume kuwa na matiti (Gynaecomastia) kutokana na kutumia madawa fulani.
Vile vile huenda ni watu wawili tofauti,kichwa cha mwanaume kimechomekwa kwenye shingo la mwanamke, ni utundu tu wa Computer,Graphics, Kwa kuona zaidi Graphics inavyofanya kazi tembelea FreakingNews.com - News Photoshop Pictures Contests - home page
 
Kichwa cha huyo mtu kiko tofauti na mwili. kichomekwa tu hapo juu. kwa hiyo hao ni watu wawili tofauti

Ni kweli wako tofauti sana, Uso umezeeka mwili kijana. Uso wa mwanaume mikono ya mwanamke Achana na maziwa. tufananishe vitu vingine. Hebu tuwekee hadi chini kabisa tuone Usafiri wake ukoje!!
 
Huo mwili unaonekana wa mwali lakini hiyo sura loh imebadikwa
 
Photoshop........!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!:smilez:
 
Hapo,kichwa ni mwanamme mzee,chini mwanamke,tena kinda,japo laonekana km lina ngoma tiyari!
 
anaweza kuwa ni mwanaume kwani kuna hali inawapata baadhi ya wanaume kuwa na matiti (gynaecomastia) kutokana na kutumia madawa fulani.
Vile vile huenda ni watu wawili tofauti,kichwa cha mwanaume kimechomekwa kwenye shingo la mwanamke, ni utundu tu wa computer,graphics, kwa kuona zaidi graphics inavyofanya kazi tembelea freakingnews.com - news photoshop pictures contests - home page

sure!
Hebu check kifaa km hiki
wangekuwepo wa hivi,safi kwa t..o!!!
Maana unachezea na manyonyo kiraisi
 

Attachments

  • tigo.jpg
    tigo.jpg
    72.1 KB · Views: 47
Back
Top Bottom