Jamani huyu ni nani?

Ally Kessy aka ally mabodi, Aliinyooshwa na AIDA KHENAN WA CHADEMA
 
Naimiss sana michango yake mjengoni.. He was funny
 
Huyu mzee alikuwa ni mmoja kati ya wapiga debe mahususi waliowekwa na mwendazake kumpigia debe ili angeongezewa muda wa mitano tena!!! Akapigwa knock out mapema hata kabla ya mwendazake kuondoka!!! Sasa anafanya biashara ya kuuza kambale huko Rukwa!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…