Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Katika siku za hivi karibuni kuna picha ya kijana ambayo inaenea mtandaoni wakidai kuwa ni dk shika enzi zake alipokuwa angali kijana ,huu ni upotoshaji mkubwa sana tena mbaya zaidi umefanywa na watu ambao wanaaminika sana katika jamii .
Ukweli halisi huyu kijana anaitwa Phillip Mrisho na amesoma shule ya sekondari ya jitegemee iliyopo dar es salaam na wala si dk Shika kama umma ulivyoaminishwa na wala hawana udungu wa aina yoyote ile.
Hizi ni picha za Phillip Mrisho wala si dk Shika kama mlivyodanganywa na akina Soudybrown Instagram.