Mulhat Mpunga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 27,256
- 16,317
utakuwa timu dayamond matola............. bishaDuniani wawiliwawili, ni kama Ali Kiba na yule Bush Man wa God must be crazy.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
utakuwa timu dayamond matola............. bishaDuniani wawiliwawili, ni kama Ali Kiba na yule Bush Man wa God must be crazy.
Hizo timu zimeingiaje tena hapa?utakuwa timu dayamond matola............. bisha
nazungumza na matola aisee wacha kuzinguaHizo timu zimeingiaje tena hapa?
Mfuate inbox ,usinijazie takataka kwenye uzi wangu au laah anzisha Uzi wako ukajadili mambo ya u team .nazungumza na matola aisee wacha kuzingua
Ngoja wamtie kidole, nafikiri itapendeza zaidiDogo anapenda kushobokea wazungu kweli
haha uzi wenyewe takataka nijazeje tena takataka aloo............... uzi pamoja na mleta uzi ni takatakaMfuate inbox ,usinijazie takataka kwenye uzi wangu au laah anzisha Uzi wako ukajadili mambo ya u team .
OK unaweza kwenda sijakutag wala kukuita shobo zako ndizo zilizo kuleta hapa , halafu usinizoee zoee kabisa yaanihaha uzi wenyewe takataka nijazeje tena takataka aloo............... uzi pamoja na mleta uzi ni takataka
nikuzoee wwewe kama pesa ama nani? wacha kulewa halafu unakuja kupost upuuz hapa mwe mwenyewe mwehu mara 30 yako shubaaaaaamitOK unaweza kwenda sijakutag wala kukuita shobo zako ndizo zilizo kuleta hapa , halafu usinizoee zoee kabisa yaani
Ha ha ha ha hanikuzoee wwewe kama pesa ama nani? wacha kulewa halafu unakuja kupost upuuz hapa mwe mwenyewe mwehu mara 30 yako shubaaaaaamit
Ali Kiba Fans' Special Thread...utakuwa timu dayamond matola............. bisha
Usome TASUBA harafu usiwe karibu na wazungu!!?Dogo anapenda kushobokea wazungu kweli
Huwa hamkosagi.....Usome TASUBA harafu usiwe karibu na wazungu!!?
Wazungu ndo walikuwa wanamfata mpaka maghetoni Bagamoyo namfaham vizuri
Katika siku za hivi karibuni kuna picha ya kijana ambayo inaenea mtandaoni wakidai kuwa ni dk shika enzi zake alipokuwa angali kijana ,huu ni upotoshaji mkubwa sana tena mbaya zaidi umefanywa na watu ambao wanaaminika sana katika jamii .
Ukweli halisi huyu kijana anaitwa Phillip Mrisho na amesoma shule ya sekondari ya jitegemee iliyopo dar es salaam na wala si dk Shika kama umma ulivyoaminishwa na wala hawana udungu wa aina yoyote ile.
View attachment 634218
View attachment 634219
View attachment 634220
View attachment 634221
View attachment 634222
View attachment 634223Hizi ni picha za Phillip Mrisho wala si dk Shika kama mlivyodanganywa na akina Soudybrown Instagram.
Au Kiba na Aishi Manula [emoji124]Duniani wawiliwawili, ni kama Ali Kiba na yule Bush Man wa God must be crazy.