Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Sio kwamba wazungu wanamshobokea dogo?Dogo anapenda kushobokea wazungu kweli
Katoe sadaka mkuu itapendeza saaana [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Dah! Tunashukuru, sasa hela zako nikutumie wapi?
Wamshobokee ana nini cha ajabu? [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Sio kwamba wazungu wanamshobokea dogo?
Ntatoa 900. Itapendeza zaidi!Katoe sadaka mkuu itapendeza saaana [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ha ha ha ,haya bhanaNtatoa 900. Itapendeza zaidi!
Weka za Dr Shika tuone, sio unakataa bila vigezo.Katika siku za hivi karibuni kuna picha ya kijana ambayo inaenea mtandaoni wakidai kuwa ni dk shika enzi zake alipokuwa angali kijana ,huu ni upotoshaji mkubwa sana tena mbaya zaidi umefanywa na watu ambao wanaaminika sana katika jamii .
Ukweli halisi huyu kijana anaitwa Phillip Mrisho na amesoma shule ya sekondari ya jitegemee iliyopo dar es salaam na wala si dk Shika kama umma ulivyoaminishwa na wala hawana udungu wa aina yoyote ile.
View attachment 634218
View attachment 634219
View attachment 634220
View attachment 634221
View attachment 634222
View attachment 634223Hizi ni picha za Phillip Mrisho wala si dk Shika kama mlivyodanganywa na akina Soudybrown Instagram.
Tumia hata akili kidogo ,we unaziona hizo picha ni za muda mrefu? Kusoma hujui hata picha huoni???Tup
Weka za Dr Shika tuone, sio unakataa bila vigezo.
Duniani wawiliwawili, ni kama Ali Kiba na yule Bush Man wa God must be crazy.Tumia hata akili kidogo ,we unaziona hizo picha ni za muda mrefu? Kusoma hujui hata picha huoni???
Sio lazima utafuniwe kila kitu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Duniani wawiliwawili, ni kama Ali Kiba na yule Bush Man wa God must be crazy.
Duniani wawiliwawili, ni kama Ali Kiba na yule Bush Man wa God must be crazy.
Na wewe ni nani mpaka uniulize swali hilo?Philpo mwenyewe kakaa kimyaa we ni nan ake
Nani Phillip au Dk Shika?Mbona mwenyewe hajakanusha..??