Jamani huyu sio Dokta Shika ni feki msibabaike naye ,Dk Shika original namfahamu.

haha uzi wenyewe takataka nijazeje tena takataka aloo............... uzi pamoja na mleta uzi ni takataka
OK unaweza kwenda sijakutag wala kukuita shobo zako ndizo zilizo kuleta hapa , halafu usinizoee zoee kabisa yaani
 
OK unaweza kwenda sijakutag wala kukuita shobo zako ndizo zilizo kuleta hapa , halafu usinizoee zoee kabisa yaani
nikuzoee wwewe kama pesa ama nani? wacha kulewa halafu unakuja kupost upuuz hapa mwe mwenyewe mwehu mara 30 yako shubaaaaaamit
 
nikuzoee wwewe kama pesa ama nani? wacha kulewa halafu unakuja kupost upuuz hapa mwe mwenyewe mwehu mara 30 yako shubaaaaaamit
Ha ha ha ha ha

Alaaah kumbe naongea na mwehu

Halafu jishtukie basi .

Hivi ulishawahi kuona nimechangia Uzi wako wowote ule tangu unifahamu?

Halafu mi huwa naskia kinyaa kujibishana na takataka kama wewe aisee tafuta saizi yako ujibishane nao usitake upate kiki kupitia kwangu.
 
Lengo lenu nini hasa? Tusiendelee kupata burudani au? Hebu acheni ukuda mwisho wa mwaka huu tunahitaji burudani tena zaidi ya hizo
 
Dk. Shika alikuwa mpiga jala mitaa ya Kariakoo kabla ajaenda Moscow.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…