vipi Mamndenyi?Mmmmh
Picha za kidigitali kabisa hizi enz hizo ni black and whiteTumia hata akili kidogo ,we unaziona hizo picha ni za muda mrefu? Kusoma hujui hata picha huoni???
Sio lazima utafuniwe kila kitu
Kiba mzuri bhana
[emoji23] [emoji23] [emoji23] big lieUongo kabisa kama hiyo eti wamepiga selfie bado kijana kabisa sijui hiyo camera ya kupiga selfie walipata wapi miaka hiyo
Mzuri wapi matunzo tuuh...!Kiba mzuri bhana
NAa ashobokee wazungu kwani wana nini cha ajabu??Wamshobokee ana nini cha ajabu? [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Dogo anapenda kushobokea wazungu kweli
uyo Dogo in mcheza komedi? maana naona picha zote kaweka swaga za ki komedi
Amesomea sanaa chuo cha sanaa bagamoyo..wanaita tasubaDogo anapenda kushobokea wazungu kweli
Shida sio kumshobokea, anawapa nini?Sio kwamba wazungu wanamshobokea dogo?