Jamani ID zetu zinaficha mengi, khaa!


Aahaa gfsonwin kumbe tuko wengi tusiopenda kujulikana
 

Mkuu unajisikiaje kuchangia au unaposoma comments zake?
 
nahisi kama nimetishika.mimi mtu akini pm,na jina langu kamili nalitaja.sasa ina maana nianze kulificha jina langu au vipi?

No kisukari usitishike, kama uko comfortable endelea tu hivyo
 
wengine hatuna la kuficha maana tunatumia majina yetu halisi, watu wangu wa karibu wapo humu na wanajua me ni member tunapishana tu humu na hakuna shida yeyote na huwa na comment kwenye post zao.

Hilo jina si mpo wengi isitoshe si jina kamili
 
I don't share my laptop either at home or at work.....kwahiyo sina hofu. Nyumbani wanajua kama mimi nacheck JF and they real don't care coz they don't check in.

Ila MadameX kama nimekuelewa vizuri unamaanisha hata wewe usingependa workmates or friends wakajua kama una-visit JF au?
 
wengine hatuna la kuficha maana tunatumia majina yetu halisi, watu wangu wa karibu wapo humu na wanajua me ni member tunapishana tu humu na hakuna shida yeyote na huwa na comment kwenye post zao.

Mkuu unamaanisha uko comfortable tu kupishana humu na mkeo/gf wako huku mkijuana ID zenu?
 
kweli inaniweka huru kila mtu nilipo anajua me ni mnazi wa jf, y should i hide.kwanza nataka nianze kutumia real ID
 
Mi sioni tatizo kujulikana nipo JF, kitu ambacho sipendi ni mtu kufahamu natumia ID gani..
 
Umenikumbusha kisa kimoja hapa jamvini. Jamaa alikuwa mwanachama hapa mchangiaji mzuri sana. Basi yeye na mkewe kila mtu ana lap top yake. Sasa siku moja wamekaa sitting room kila mtu yuko busy na lap top yake, mwenzie akanyanyuka kwenda ama jikoni au chumbani (sikumbuki vizuri) basi jamaa akaenda kuchungulia haraka haraka ili asikutwe kuona mkewe alikuwa anafanya nini kwenye LT. Akamkuta yuko hapa jamvini na akabahatika kuona ID yake. Basi akaanza kufuatilia michango yake ya nyuma na kukuta mkewe alikuwa anafagilia sana mambo ya tigo.

Jamaa akaandika hapa mkasa wake na kusema amechanganyikiwa kupita kiasi maana yeye na mambo ya tigo mbali mbali na hawajawahi (yeye na mkewe) hata siku moja kugusia hata kwa dakika moja mambo/utamu wa tigo sasa kama anatundika jumbe hapa ukumbini kufagilia tigo je huwa anafanya na nani?

Michango ya mwanachama yule ikapungua sana na hatimaye akapotea kabisa au labda aliamua kubadili ID.
 
Mi ndo sina hofu kabisaaaa kwani marafiki zangu, ndugu, na jamaa wanajua kuwa niko JF. Ni raha kweli.
 
Aahaa gfsonwin kumbe tuko wengi tusiopenda kujulikana
mito unajua kwanini huwa hatupendi? ili tuweze kuongea freely kwani ukijulikana lazma lazima heshima yako uilinde ama umesahahu? jf bana naona hii mbinu ya kwa na hidden ID ni nzuri sana na binafsi nafagilia.
 
Last edited by a moderator:
gfsonwin mi niliishiwa pozi aliponitajia ID yangu ilinibidi nipoe kiaina ukizingatia na ule utumbo tunaotaniana na Bishanga nilinywea kidogo lakina naendeleza sebene alishaona na amezoea
 
It's funny,unakuta mnatupiana madongo na kukashifiana na mtu kumbe ni hazband and waifu,JF ni raha tupu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…