Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
BAK nimependa huu ushuhuda wako!
Ila kumbe uko biased kama Mtambuzi mkuu, mbona mimi hujaniwekea muziki au picha? au database yako imekaukiwa mzee, aaha!
Hakuna cha kuficha, sasa kama unamficha spouse wako hiyo ni hatari. Mimi watu wengine ndo nawaficha lakini spouse simfichi kuwa niko JF na ID anaijua
Jumma jumma dede!
Id hazifichi mengi
id zina reveal mengi
Mimi nadhani zinafanya yote hayo mawili: kuficha na ku reveal.
but wengine zina reveal zaidi kuliko kuficha
hasa anapoamini no one notices lol
Tatizo ni kama alivyoeleza gfsonwin, braine n kurt na wengine.........hope umesoma sababu walizotoa.
Kwahiyo we hata laazizi wako akujua ID yako ni poa tu, utaendelea kujimwaga kwa uhuru?
but wengine zina reveal zaidi kuliko kuficha
hasa anapoamini no one notices lol
Nyani Ngabu na The Boss naona kama mme-deviate kidogo, mbona hamuongelei identification ambayo ndo msingi wa topic?
How will I know that they Know my ID?how would you feel if they know your ID? or if your partner knows your ID?
Mi sioni tatizo kujulikana nipo JF, kitu ambacho sipendi ni mtu kufahamu natumia ID gani..
Wengine wana ID kadhaa.Unamaanisha nini mkuu? unaweza fafanua kidogo....