Jamani ID zetu zinaficha mengi, khaa!

Jamani ID zetu zinaficha mengi, khaa!

...kutojulikana kuna raha yake,na zaidi ya hapo kuna advantages zake pia,mfano;
1) Kuwa huru kusema chochote kile cha moyoni bila kuleta siasa na kupindisha pindisha kama ungekuwa na mtu halisi au watu around U.

2) Sometimes naamini kuna watu wanakuwa wameboreka zen wanaamua kuanzisha threads hata za kufikirika ili wafuatilie watu wanavobishana wao wakicheka kwenye PC zao hivyo maisha kuwa rahisi kiana kwao kwa vipindi vigumu.

Mie nilipoingia nilijua niko very free,hakuna anijuaye,si rafiki wala wifey..,kumbe juzi juzi hapa nikaja kushtuka kumkuta na yee anaperuzi JF,akafika place na kutulia katika ile coment yangu,akaniambia wazi kuwa ''NAJUA ZIS IS U,ITS UR LANGUAGE AND HAND WRITINGS,HATA UKIBISHA BISHA,ILA MIE KWA MUDA TULIOSPEND PAMOJA HATA UKIANDIKA SENTENSI MOJA TU,NAKUJUA,UTAWAFICHA WENZI WA JF ILA SIO MIMI'',moyo ulikuwa kama umenisimama kwa few seconds,BP juu,midomo inatetemeka kiaina,miguu nayo kama si yangu vile,yani nikawa najiskia vibaya vibaya tuu kwa sekunde chache,ila mwisho wa siku nikamwambia ukweli,na ni kweli ile ilikuwa ni ID yangu,zen hakumaindi,akaendelea na isue zake,na Mie mpaka leo niko huru na PC yangu,ila kwakuwa SITAKI mtu mwingine yeyote ajue,huwa niko makini kuhakikisha NALOG OUT AS SOON AS SIPO kwenye PC hata PC itabaki ON,hivyo sikubali kama kuogopa kujulikana ni UOGA,ila kwa human nature kuna raha fulani ya kuwa FREE...!!!

Aaaha umenifurahisha hapo kwa red. vipi sasa baada ya kujua wifey anakujua, unadhani bado una confidence yako ile ile ya kujimwaga kama ilivyokuwa awali?
 
Kwakuangalia ID inaonekana ni mchaga agu umehitimu si zaidi ya miaka 2.

Kigauni kipo, ntascan nikiweke hapa.
"agu" niliyohitimu not less than two years ago ndo kitu gani?
Una mtizamo hasi kuhusu wachagga kama kule kwenye siasa?
 
Sijakutana na sina mpango huo hivi karibuni.
Naogopa nina pembe moja

Tena id zinaficha mengi sana lol
Kama huna mpango huo hivi karibuni,nikikusoma btn lines,basi kuna njemba imekuminya kona in one way or another.Huwa nashangazwa swana na wale wanaojiuliza kuhus jinsia yako.
Na wewe umejiaminisha maneno yao hadi unajihisi una pembe?hiyo pembe yako iko kichwani?
 
"agu" niliyohitimu not less than two years ago ndo kitu gani?
Una mtizamo hasi kuhusu wachagga kama kule kwenye siasa?

dah, usinikumbushe pande ile, manake ustaarabu ni zero, loh!
 
Kuna akina bi kidude, kuna wengine ni bora mkutanie CNN angalau tukio litarushwa live na watu waone nini kilitokea maana wanapata sukari na chumvi hata yasikuwepo, kuna wengine tuna mapembe ya kuzaliwa.

Nikikutana na wanamme ntakuwa na mafuta ya kupata.

Wee huogopi?

Consequences gani?ukikutana na wanaume?don't be scared.
 
Kuna akina bi kidude, kuna wengine ni bora mkutanie CNN angalau tukio litarushwa live na watu waone nini kilitokea maana wanapata sukari na chumvi hata yasikuwepo, kuna wengine tuna mapembe ya kuzaliwa.

Nikikutana na wanamme ntakuwa na mafuta ya kupata.

Wee huogopi?
swali lako gumu,niogope kitu gani?Mafuta ya kupaka wapi ukikutana na mwanaume,mhn,haya mafumbo yako,huku kwenye mapenzi kweli mi mchagga wapi na wapi?lol!mi niulize ideas za kutafta pesa utafurahi.BTW ulimaanisha "mafuta ya kupaka"?
 
ha ha ha, ukisema ya kupaka ni kwa matumizi ya kutunza ngozi, ila ya kupata ni kwa matumizi ya kutengenezea 'human sushi'

siku hizi wachaga wanaimport ujuzi huu toka Tanga na Mafia.

Nadhani wa hivo ndo mnakuwaga na ID zaidi ya moja na kila moja na kazi yake kana alivyosema samora10 (just guessing though)

You are quite wrong, mimi nilianza umember kabla yake nikawa active 2010 kufuatilia matokeo ya uchaguzi, so he was obviously interested and was logging in through my ID....by the way my brother blurted out my name here na kubust my identity.....grrrrr to u...u know who u r !!! Double grrrrrrrr
 
hahaaahaa mimi ninalishemeji langu hapa utakuta sometymz wote tupo JF mana Jf inajulikana hata kama uko kwa mbali unaona...ila nataman sana kujua ID yake ila nashndwa tu kuuliza
 
ha ha ha, ukisema ya kupaka ni kwa matumizi ya kutunza ngozi, ila ya kupata ni kwa matumizi ya kutengenezea 'human sushi'

siku hizi wachaga wanaimport ujuzi huu toka Tanga na Mafia.
Teh teh teh...mbavu zangu pliiz!Are you a canibalist?or is it on some occasions?you really eat it?how much you like human sushi?jamaa ako we mchagga?I got some realy nice "flesh sushi" to satisfy your "hunger" so to speak!
 
Aaaha umenifurahisha hapo kwa red. vipi sasa baada ya kujua wifey anakujua, unadhani bado una confidence yako ile ile ya kujimwaga kama ilivyokuwa awali?

...ebwana Mkuu,nikisema ile ukweli kabisa,siko 100% confident kujiachia kama longi ilivokuwa,ila ol in ol,life linaenda a bit simplified nowdays,sabu naweza kucheki JF any tm hata kama Wifey yuko pembeni yangu,na yeye sometimes huwa namsomea some coments zen2nabaki2nacheka wote,imekuwa much more fan but kwa upande wangu am a bit limited in my language and sense of writings,ze gud thing is NO MOR BPs abt Her seeing Me in JF pages...
 
it seems most of you guys mnatumia PC,kwani simu zina tatizo?au ni kwasababu za kiusalama zaidi?naomba kujuzwa jamani mwenye ufahamu na hili,yani athari za kutumia simu,may be ni rahisi kwa hackers kuidentify who you are wakitrace adi kupata namba yako?mwenye uelewa majibu plz.
 
kweli inaniweka huru kila mtu nilipo anajua me ni mnazi wa jf, y should i hide.kwanza nataka nianze kutumia real ID

muulize andrew nyerere. Alipofahamika tu kina patel wakamtafuta na kumtishia aje awasafishe. Washkaji zangu wengi wanajua mi ni member mzuri wa humu ili hawajui id yangu na haji kujua.
 
Back
Top Bottom