jmushi1
Platinum Member
- Nov 2, 2007
- 26,329
- 25,263
Kongosho hapo red pamenipa nguvu sana!
Pamekupa nguvu gani mkuu?za kiume?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kongosho hapo red pamenipa nguvu sana!
sasa Nakshi huoni kama hiyo (in red) sasa inakunyima uhuru wa kujimwaga?
...kutojulikana kuna raha yake,na zaidi ya hapo kuna advantages zake pia,mfano;
1) Kuwa huru kusema chochote kile cha moyoni bila kuleta siasa na kupindisha pindisha kama ungekuwa na mtu halisi au watu around U.
2) Sometimes naamini kuna watu wanakuwa wameboreka zen wanaamua kuanzisha threads hata za kufikirika ili wafuatilie watu wanavobishana wao wakicheka kwenye PC zao hivyo maisha kuwa rahisi kiana kwao kwa vipindi vigumu.
Mie nilipoingia nilijua niko very free,hakuna anijuaye,si rafiki wala wifey..,kumbe juzi juzi hapa nikaja kushtuka kumkuta na yee anaperuzi JF,akafika place na kutulia katika ile coment yangu,akaniambia wazi kuwa ''NAJUA ZIS IS U,ITS UR LANGUAGE AND HAND WRITINGS,HATA UKIBISHA BISHA,ILA MIE KWA MUDA TULIOSPEND PAMOJA HATA UKIANDIKA SENTENSI MOJA TU,NAKUJUA,UTAWAFICHA WENZI WA JF ILA SIO MIMI'',moyo ulikuwa kama umenisimama kwa few seconds,BP juu,midomo inatetemeka kiaina,miguu nayo kama si yangu vile,yani nikawa najiskia vibaya vibaya tuu kwa sekunde chache,ila mwisho wa siku nikamwambia ukweli,na ni kweli ile ilikuwa ni ID yangu,zen hakumaindi,akaendelea na isue zake,na Mie mpaka leo niko huru na PC yangu,ila kwakuwa SITAKI mtu mwingine yeyote ajue,huwa niko makini kuhakikisha NALOG OUT AS SOON AS SIPO kwenye PC hata PC itabaki ON,hivyo sikubali kama kuogopa kujulikana ni UOGA,ila kwa human nature kuna raha fulani ya kuwa FREE...!!!
"agu" niliyohitimu not less than two years ago ndo kitu gani?Kwakuangalia ID inaonekana ni mchaga agu umehitimu si zaidi ya miaka 2.
Kigauni kipo, ntascan nikiweke hapa.
Kama huna mpango huo hivi karibuni,nikikusoma btn lines,basi kuna njemba imekuminya kona in one way or another.Huwa nashangazwa swana na wale wanaojiuliza kuhus jinsia yako.Sijakutana na sina mpango huo hivi karibuni.
Naogopa nina pembe moja
Tena id zinaficha mengi sana lol
Pasikupe nguvu sana, maana nashawishika kukutana na baadhi
Kikubwa ni kujua consequences za kukutana na watu na kuwa tayari kuzibeba.
Consequences gani?ukikutana na wanaume?don't be scared.
swali lako gumu,niogope kitu gani?Mafuta ya kupaka wapi ukikutana na mwanaume,mhn,haya mafumbo yako,huku kwenye mapenzi kweli mi mchagga wapi na wapi?lol!mi niulize ideas za kutafta pesa utafurahi.BTW ulimaanisha "mafuta ya kupaka"?Kuna akina bi kidude, kuna wengine ni bora mkutanie CNN angalau tukio litarushwa live na watu waone nini kilitokea maana wanapata sukari na chumvi hata yasikuwepo, kuna wengine tuna mapembe ya kuzaliwa.
Nikikutana na wanamme ntakuwa na mafuta ya kupata.
Wee huogopi?
swali lako gumu,niogope kitu gani?Mafuta ya kupaka wapi ukikutana na mwanaume,mhn,haya mafumbo yako,huku kwenye mapenzi kweli mi mchagga wapi na wapi?lol!mi niulize ideas za kutafta pesa utafurahi.BTW ulimaanisha "mafuta ya kupaka"?
Nadhani wa hivo ndo mnakuwaga na ID zaidi ya moja na kila moja na kazi yake kana alivyosema samora10 (just guessing though)
Teh teh teh...mbavu zangu pliiz!Are you a canibalist?or is it on some occasions?you really eat it?how much you like human sushi?jamaa ako we mchagga?I got some realy nice "flesh sushi" to satisfy your "hunger" so to speak!ha ha ha, ukisema ya kupaka ni kwa matumizi ya kutunza ngozi, ila ya kupata ni kwa matumizi ya kutengenezea 'human sushi'
siku hizi wachaga wanaimport ujuzi huu toka Tanga na Mafia.
Mkuu hata ID yako wanaijua?
Aaaha umenifurahisha hapo kwa red. vipi sasa baada ya kujua wifey anakujua, unadhani bado una confidence yako ile ile ya kujimwaga kama ilivyokuwa awali?
mwalim me nimeipenda hiyo avatar ila mwez huu siruhusiwi kuikodolea:sleepy:
kweli inaniweka huru kila mtu nilipo anajua me ni mnazi wa jf, y should i hide.kwanza nataka nianze kutumia real ID