Jamani ID zetu zinaficha mengi, khaa!

mito. mimi naficha almost kila kitu kwenye laptop yangu kwa sababu za binafsi, sio tu niko JF bali hata files/folders etc. bossi wangu anajua nipo JF lakini sio ID au kingine, kuna vitu nimesema hapa jamvini ambavyo nisingependa waliokaribu nami wajue.

gfsonwin. watu wanaona post zako zina mchanga mzuri ndio maana una rep kubwa, kuna uzi unaoelezea rep lakini sikumbuki ipo forum gani.
 
Last edited by a moderator:
Mimi sina shaka maana nashea haka ka ID na my wife 2 be'kwa hyo muwe makini PM zenu'
 
mito unajua kwanini huwa hatupendi? ili tuweze kuongea freely kwani ukijulikana lazma lazima heshima yako uilinde ama umesahahu? jf bana naona hii mbinu ya kwa na hidden ID ni nzuri sana na binafsi nafagilia.

Ila kweli wakati mwingine unatema maneno makali sijui niniliu kuingia niniliu!!!!!!! Injinia akiona atazimia
 
Ila kweli wakati mwingine unatema maneno makali sijui niniliu kuingia niniliu!!!!!!! Injinia akiona atazimia
platozoom unajua hapando mahala pa kuondolea stress manake kazini nidham 100% hm na kwenyewe sasa huna muda hata wa kuropoka katusi kamoja wafikirije? bora nilimwage kwenye key board japo na mimi nipunguze kiupepo.

wakaka huwa mwaweza kutukana hadharani sana tu ila kwa mtu kama mimi wala tusi haliwez kutoka kinywani manake sijawah so ni bora kuliandika hapa kimtindo jamani lol
 
Last edited by a moderator:
Mimi ntizama hili tofauti kidogo........naamini haya tunayoyamwaga humu pengine ndio identity yetu halisi na huko nje tuna-pretend tu!!.........! Na mfano ni rahisi tazama wanavyomwagika watu hapa kusema "simpendi mume/mke, ndoa imenishinda (ingawa akiwa kwake na kwa wengine anaonyesha anaipenda sana ndoa yake), mwingine atasema napenda blow job ingawa akiwa na patna wake ana-pretend hataki kabisa hayo mambo"
 
mito , mmmh kuna matatizo gani wakijua.....good thing ninaofanya nao kazi si wadaku!
 
Last edited by a moderator:

umenena vema
 
mito unajua kwanini huwa hatupendi? ili tuweze kuongea freely kwani ukijulikana lazma lazima heshima yako uilinde ama umesahahu? jf bana naona hii mbinu ya kwa na hidden ID ni nzuri sana na binafsi nafagilia.

Exactly gfsonwin
 

Asante braine n kurt nazidi kuwa na moyo, kumbe nafanya vizuri tu kujificha
Ila nimepata shida kuandika jina lako, loh!
 
mito , mmmh kuna matatizo gani wakijua.....good thing ninaofanya nao kazi si wadaku!

Tatizo ni kama alivyoeleza gfsonwin, braine n kurt na wengine.........hope umesoma sababu walizotoa.
Kwahiyo we hata laazizi wako akujua ID yako ni poa tu, utaendelea kujimwaga kwa uhuru?
 

BAK nimependa huu ushuhuda wako!
Ila kumbe uko biased kama Mtambuzi mkuu, mbona mimi hujaniwekea muziki au picha? au database yako imekaukiwa mzee, aaha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…