Jamani ili kusoma degree unatakiwa uwe na principle ngapi???

Jamani ili kusoma degree unatakiwa uwe na principle ngapi???

ngarambe

Senior Member
Joined
Apr 15, 2012
Posts
100
Reaction score
14
Jamani naomba msaada ni vigezo vipi ndio. Vinawezesha kusoma degree??? Mi. Nina principle mbili na s moja.
 
Jamani naomba msaada ni vigezo vipi ndio. Vinawezesha kusoma degree??? Mi. Nina principle mbili na s moja.
unatakiwa kuwa na principle mbili tu ktk masomo 3 ya comb,but kwenda chuo inategemea na cut off point mfano dsm,dodoma,duce, ni 5 ila tumaini teofilo kisanji,bagamoyo just 2.5 kazi kwako ku calculate cut off point yako
 
Back
Top Bottom