Jamani, ipi bora: Kuoa mke zaidi ya mmoja ama kuwa na mke mmoja na nyumba ndogo kibao!

aaah hapo kuoa mke zaidi ya m1 ndio njema zaidi, i mean ukiwa na mwembamba na na mnene inakua safi.
Tamaa nyingine zinaletwa na mtu kuchoka na maumbile ya mkewe i.e mke ni mnene so jamaa anajikuta anataman wembamba! Or mke ni white xana inafikia muda jamaa anatamani black beauty! Mke zaidi ya mmoja ni Nafuu japo wadada wengi mtakataa
 
nyumba kubwa

Sawa kabisa.

By First Born

kuwa na nyumba ndogo ndo vizuri, hii itamfanya mke wako awe na daily fixed timetable ya game, lakini pia ni vizuri mke wako awe na taarifa ili na yeye atafute kidumu.



yaani hapo nyumba kubwa umeniacha hoi, ina maana wewe una entertain nyumba ndogo???
 

msubiri Mungu aamue labda atatuma Agano jipya la sayansi, teknologia na utandawazi linalokuruhusu kuwa na wengi. "mmoja kakushinda kumi utawaweza?"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…