Chris_Mambo
JF-Expert Member
- Aug 11, 2010
- 595
- 122
Muhali gani wana JF? Hope you are all fine! Nimekuwa nikitatizwa na suala moja jamani. Si mnajua kuwa ratio ya women to men ni zaidi ya moja, na imeamrishwa kuwa ni wajibu watu kuoana wakati ukifika ili kumpendeza Mungu? Sasa sasa kama inavyoelezwa kwenye kitabu kimoja wapo kuwa one man, one moman forever. Where will other women go?
Pia kuna tetesi kuwa watu wenye ndoa moja hawaishi kuwa na nyumba ndogo. Je kuna umuhimu wa kubadili utaratibu ili ndoa ya wake wengi iwe ruksa kama inavyoelezwa kwenye kitabu kimojawapo cha dini? Je kuna maana gana kama mtu anajiheshimu lakini bado ana nyumba ndogo pembeni? Kwa nini asihalalishe tu ili hata kama atapata watoto nje ya ndoa yake watambulike na wawe na haki sawa na wale wa nje ya ndoa?