N nhassall Senior Member Joined Dec 17, 2010 Posts 195 Reaction score 41 Oct 4, 2012 #1 Madaktari mliomo humu tafadhali anagalia hii picha halafu mtujulishe huu ni ugonjwa gani na unasababishwa na nini? Attachments manundu.jpg 30.7 KB · Views: 208
Madaktari mliomo humu tafadhali anagalia hii picha halafu mtujulishe huu ni ugonjwa gani na unasababishwa na nini?
Chelian Senior Member Joined Oct 1, 2012 Posts 107 Reaction score 40 Oct 4, 2012 #2 ugonjwa wa kichina huo
awp JF-Expert Member Joined Jun 6, 2012 Posts 1,711 Reaction score 603 Oct 4, 2012 #3 inatia huruma, nishakutana na watu wa2 hapa ubungo wana kitu kama hiyo. kwa kweli inahuzunisha
S Starn JF-Expert Member Joined Oct 10, 2011 Posts 396 Reaction score 66 Oct 4, 2012 #4 huu ugonjwa nadhani unaitwa Neurofibromatosis kwa maelezo zaidi fuuta link hii hapa chini: Neurofibromatosis - Wikipedia, the free encyclopedia au Neurofibromatosis: MedlinePlus
huu ugonjwa nadhani unaitwa Neurofibromatosis kwa maelezo zaidi fuuta link hii hapa chini: Neurofibromatosis - Wikipedia, the free encyclopedia au Neurofibromatosis: MedlinePlus