Jamani jamani huu ni ugonjwa gani?

Jamani jamani huu ni ugonjwa gani?

nhassall

Senior Member
Joined
Dec 17, 2010
Posts
195
Reaction score
41
Madaktari mliomo humu tafadhali anagalia hii picha halafu mtujulishe huu ni ugonjwa gani na unasababishwa na nini?
 

Attachments

  • manundu.jpg
    manundu.jpg
    30.7 KB · Views: 208
inatia huruma, nishakutana na watu wa2 hapa ubungo wana kitu kama hiyo. kwa kweli inahuzunisha
 
Back
Top Bottom