Jamani Jamani Jamaani..!!

STUNTER

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2015
Posts
13,076
Reaction score
17,247
Jamaa karudi home ghafla na kupata mshtuko kukuta
mkewe kipenzi ana bwana ndani, baada ya zogo
kubwa, wanaume wakaenda ukumbini kumalizana
kiungwana;
MUME: Sikiliza mi nakusamehe niachie
mke wangu ananipenda ila ni shetani tu kampitia

MGONI: Lakini mimi niko nae siku nyingi, hawezi kuniacha ananipenda sana
MUME: Hebu tufyatue risasi
na kujifanya tumeuwana atakayeliliwa zaidi achukue
mke....wakafyatua risasi mke akaja mbio akipiga
kelele na kukuta wanaume wamelala chini......akaanza kucheka na kurudi chumbani

MKE: Mpenzi wangu
toka huko uvunguni wale mafala wamejipiga risasi wamekufa wote..!!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Naona wakiamka hao mabwana watamfanya kitoweo
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Naona wakiamka hao mabwana watamfanya kitoweo
Hatari hiyo kaka , hapo presha nje nje
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Risasi akifyatuliwa mwanamke huwezi amini ndo best solution ever.

Hakuna ugomvi tena na hakuna mapenzi tena, ki uanaume uanaume watasemeheana tu na maisha yataendelea tu.

Experience kutoka katika movies
hate story3 na FIDA
 
Kweli kabisa aisee...
Alafu hizo movie inabidi nizitafute
 
Kweli kabisa aisee...
Alafu hizo movie inabidi nizitafute
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…