Jamani Jamani Jamaani..!!

Jamani Jamani Jamaani..!!

Dah...ni kweli kabisa. .hao ni mafala wawili[emoji13]
 
Jamaa karudi home ghafla na kupata mshtuko kukuta
mkewe kipenzi ana bwana ndani, baada ya zogo
kubwa, wanaume wakaenda ukumbini kumalizana
kiungwana;
MUME: Sikiliza mi nakusamehe niachie
mke wangu ananipenda ila ni shetani tu kampitia

MGONI: Lakini mimi niko nae siku nyingi, hawezi kuniacha ananipenda sana
MUME: Hebu tufyatue risasi
na kujifanya tumeuwana atakayeliliwa zaidi achukue
mke....wakafyatua risasi mke akaja mbio akipiga
kelele na kukuta wanaume wamelala chini......akaanza kucheka na kurudi chumbani

MKE: Mpenzi wangu
toka huko uvunguni wale mafala wamejipiga risasi wamekufa wote..!!
Uswazi tunasemaga mbwa kala mbwa dadeq
 
Haloooo uyo mwanamke kweli sio wa mchezo mchezo
 
Back
Top Bottom