Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Huo ndo uanamke wenyeweWewe Eve mbona unamoyo wa ukatili namna hiyo? Au ndo uanamke wenyewe huo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huo ndo uanamke wenyeweWewe Eve mbona unamoyo wa ukatili namna hiyo? Au ndo uanamke wenyewe huo?
Mh!Huo ndo uanamke..... Teh
Uswazi tunasemaga mbwa kala mbwa dadeqJamaa karudi home ghafla na kupata mshtuko kukuta
mkewe kipenzi ana bwana ndani, baada ya zogo
kubwa, wanaume wakaenda ukumbini kumalizana
kiungwana;
MUME: Sikiliza mi nakusamehe niachie
mke wangu ananipenda ila ni shetani tu kampitia
MGONI: Lakini mimi niko nae siku nyingi, hawezi kuniacha ananipenda sana
MUME: Hebu tufyatue risasi
na kujifanya tumeuwana atakayeliliwa zaidi achukue
mke....wakafyatua risasi mke akaja mbio akipiga
kelele na kukuta wanaume wamelala chini......akaanza kucheka na kurudi chumbani
MKE: Mpenzi wangu
toka huko uvunguni wale mafala wamejipiga risasi wamekufa wote..!!