Jamani jamani! Kumbe kuna shule zinatoza ada kufuru>>>dah!

Jamani jamani! Kumbe kuna shule zinatoza ada kufuru>>>dah!

Tripo9

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2009
Posts
4,357
Reaction score
3,550
Wadau!
Eti sekondary kuna ada inafikia milioni 11 kwa mwaka...Nasikia iko Shinyanga sjui!

Kuna hii sijui Feza boys sijui girls ada milioni 6 kwa mwaka

Kuna chekechea nimesikia sijui iko wapi ada milioni 4 kwa mwaka

Hizi zote nilizoandandika hapa nnimesikia.

Naomba wadau ambao wanajua ada kufuru hem waniwekee hapa na shule husika, hata na mimi niendelee kushangaa.

Dah! Nawasilisha!
 
Hakuna anayefungwa kamba na kulazimishwa kwenda hapo kusoma!
 
Mbona za kawaida sana hizo, nenda International School of Tanganyika (IST) pale sijui ni Msaki ama ni Oysterbaya maana mipaka ya vitongoji vya Darisalama inanichanganya kwa mwaka ni milioni 15
 
Mbona za kawaida sana hizo, nenda International School of Tanganyika (IST) pale sijui ni Msaki ama ni Oysterbaya maana mipaka ya vitongoji vya Darisalama inanichanganya kwa mwaka ni milioni 15

Hapo unasoma degree ya kwanza hadi ya pili kwa hiyo pesa. But mwisho wa siku watu wanapeleka watoto wao hapo.
 
Haa hyo ndogo mbona nenda ISM-international school Moshi ada dolar 20000 mbona
 
Mbona za kawaida sana hizo, nenda International School of Tanganyika (IST) pale sijui ni Msaki ama ni Oysterbaya maana mipaka ya vitongoji vya Darisalama inanichanganya kwa mwaka ni milioni 15

na wakitoka hapo wana qualify kushiriki BIG BROTHER.
 
Hahahahahaha,,,,kwa international schools,,,,ist ni 16m,ism ni 9m day na 12m boarding,,ism(mwanza) 12m,,ila nasikia heaven of peace ndo kiboko yao 22m,,ni data za mwaka juz-jana,,
kwa shule za kawaida,
feza bys n girls 6.6m
alpha 5.5m(aliesoma pre fm5 na fm5,ila fm6 ni 4. M) hii inaendana na st joseph cathedral,
trust st patrick-arusha 3.somethn M)
,,ongezea na wewe!!!
 
Back
Top Bottom