hooligan01
JF-Expert Member
- Nov 21, 2013
- 664
- 539
Lodilofa
Usinisahau kwenye Baraza Jipya.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3][emoji1] [emoji1] [emoji1] awe anaimba huku amekaa ili asichoke haraka
Sent using Jamii Forums mobile app
Ofisini sindiyo atazidiHyu jamaa naonaga kama hyo kazi yake haimfai kwa sasa..bora atafute ofice atulie.
young kilimanjaro
UrumaMsechu huyo hapo. Lemutuz kasingiziwa
View attachment 558698
Na nlishasikia anakunyaga akiwa deede kwasababu hawezi kuchuchumaa asilani.Leo alikuwa anapayuka nikasema anaweza kunya jukwaani
Yani nimecheka nusu nikojoeAkivaa dera jeusi afu liandikwe simtank unaweza kuja kuchota maji
Kipipa aendekeze unene ataibiwa mke
Ha ha ha ila asijekupafomu kama leo kaharibu kabisaNa nlishasikia anakunyaga akiwa deede kwasababu hawezi kuchuchumaa asilani.
Ndio hivyo...Ha ha ha ila asijekupafomu kama leo kaharibu kabisa
Kipipa aendekeze unene ataibiwa mke
[emoji28] [emoji28] [emoji28] duuhMsechu huyo hapo. Lemutuz kasingiziwa
View attachment 558698
hhahahahaLeo alikuwa anapayuka nikasema anaweza kunya jukwaani
[emoji23][emoji23][emoji23]Leo alikuwa anapayuka nikasema anaweza kunya jukwaani
au kameza mtu au nyumba? looh hilo tumbo sio la nchi hii *****
Sasa mkuu ulitaka adanganye?Huyu jamaa aliendaga marekani alivorudi akawa anafanyiwa interview redioni mtangazaji akamuulizi baada ya ziara yako ndefu umerudi na nini? Akajibu nimenunua tv flat screen na iPad, tokea cku ile huwa namuona kituko!
Sent using Jamii Forums mobile app