Jamani jamani Peter Msechu awa kituko

Jamani jamani Peter Msechu awa kituko

Jamani jamani Peter Msechu awa kituko yaani amenenepa nusu kupasukiana halafu anaimba kwenye mic anashindwa kupumua unaweza ukasikia kabisa anavyokosa pumzi hadi anapumua Kama katoka kukimbia mbio za marathon

Sent using Jamii Forums mobile app

Kakuchapia nini Mkuu manake siyo kwa chuki zako hizi za wazi wazi Kwake. Mimi nakushauri tu pambana na hali yako na achana na Peter Msechu ambaye nina uhakika hata robo ya mafanikio yake ya Kipesa hujayafikia na pengine unaweza hata usiyafikie hadi Kufa kama siyo Kufariki Kwako.
 
Hakuna chuki hapo kaandika ukweli mtupu ...sema tu hayo ni maisha binafsi ya Msechu mwwnyewe aliyayachagua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
maxresdefault.jpg
Aisee, total transformation
Kwanini wabongo kunenepa wanaona ndio sifa, duh hilo tumbo si aingie gym watu wa karibu wamshauri
 
Kakuchapia nini Mkuu manake siyo kwa chuki zako hizi za wazi wazi Kwake. Mimi nakushauri tu pambana na hali yako na achana na Peter Msechu ambaye nina uhakika hata robo ya mafanikio yake ya Kipesa hujayafikia na pengine unaweza hata usiyafikie hadi Kufa kama siyo Kufariki Kwako.
Hehehehe Umetisha hadi umejua Hali ya uchumi wangu teh teh[emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Embu imagine ukitwisha ndo ya maji,halafu aishike kwa mikono miwili,unaweza ni magofu ya kilwa
 
Back
Top Bottom