myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 166,767
- 705,461
Duh ichi kifurushi cha karneMsechu huyo hapo. Lemutuz kasingiziwa
View attachment 558698
Jamani jamani Peter Msechu awa kituko yaani amenenepa nusu kupasukiana halafu anaimba kwenye mic anashindwa kupumua unaweza ukasikia kabisa anavyokosa pumzi hadi anapumua Kama katoka kukimbia mbio za marathon
Sent using Jamii Forums mobile app
akili itamrudidah na ile chombo Amaris.....balaaaa
Hakuna chuki hapo kaandika ukweli mtupu ...sema tu hayo ni maisha binafsi ya Msechu mwwnyewe aliyayachaguaKakuchapia nini Mkuu manake siyo kwa chuki zako hizi za wazi wazi Kwake. Mimi nakushauri tu pambana na hali yako na achana na Peter Msechu ambaye nina uhakika hata robo ya mafanikio yake ya Kipesa hujayafikia na pengine unaweza hata usiyafikie hadi Kufa kama siyo Kufariki Kwako.
Leo alikuwa anapayuka nikasema anaweza kunya jukwaani
Aisee, total transformation
Ha ha hahaUkitaka kupata laana ya Peter msechu mwambie afunge kamba zake za viatu peke yake.
Hehehehe Umetisha hadi umejua Hali ya uchumi wangu teh teh[emoji23]Kakuchapia nini Mkuu manake siyo kwa chuki zako hizi za wazi wazi Kwake. Mimi nakushauri tu pambana na hali yako na achana na Peter Msechu ambaye nina uhakika hata robo ya mafanikio yake ya Kipesa hujayafikia na pengine unaweza hata usiyafikie hadi Kufa kama siyo Kufariki Kwako.
πππ[emoji1] [emoji1] [emoji1] awe anaimba huku amekaa ili asichoke haraka
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] una maneno ya ajabu ww!Akivaa dera jeusi afu liandikwe simtank unaweza kuja kuchota maji