Jamani jamani Peter Msechu awa kituko

Jamani jamani Peter Msechu awa kituko

Unajua, kwa hali hiyo yafaa tujue yeye anaichukuliaje hali aliyonayo?

Sote tunajua kitambi ni ugonjwa, ila kuna watu wanajisifu wakiwa na vitambi na wasionavyo hufanya kila juhudi ili wawe na vitambi!

Sisi tunaweza tukawa tunahuzunika na kutoa maushauri ilhali mhusika ndio kwanza anashangilia kwa mwili alionao.

Steve Jobs - Giant Of Technology.
 
Kwenye hii shooting ya wimbo wake Yawa ndiyo unaweza kuona jinsi alivyonenepa halafu kuna mistari inasema....
"Eti sina six packs.."

Yaani jamaa anajivunia alivyo
maskini du
 
Akipasuka mniambie...
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Back
Top Bottom