mashambani kwao
JF-Expert Member
- Dec 5, 2011
- 370
- 56
Kuanzia mwezi wa sita wakazi wa mkoa wa PWANI hawaja wahi kupata usingizi siku za wiki end wadau naomba 2jadili.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuanzia mwezi wa sita wakazi wa mkoa wa PWANI hawaja wahi kupata usingizi siku za wiki end wadau naomba 2jadili.
Hahahahahahaa
Haya tujadili.
hivi ilipaswa kuwa tokea au kuanzia..........?
na kilichowasababisha wasipate usingizi ni nini.......?
Hahahahahahaa
Haya tujadili.
Unajua mi sielewi hapa mjadala ni juu ya nini....Na log offtunachojadili ni nini hasa?
wazaramo wamevuna mpunga mwingi bac kila wk end ngoma kwenda mbeleeee