habari za leo wana jamii..??? dah sijuwi hata nianzie wapi..! ila ukishangaa ya Musa utashangaa ya firauni! kama unavojuwa ilikuwa tarehe 18-8-2012 ilikuwa namvisha pete mtarajiwa, alifika hapa zenji tarehe 16 usiku tulipanga siku iliyo fuata yani tarehe 17 twende kupima afya zetu. hatujawahi kunfanya tedo la ndoa hata cku 1 sikupenda kufanya mapenzi kwahofu maana ukiwa na hofu huwezi faidi mahaba.tulifika hosbital ya JWTZ ipo bububu hapa zenji. vipomo nikama hivi H I V poa uzazi ana mimba ya miezi 3
asante ila nimefarijika sana kujuwa haya mapema nahisi ingeniuma sana endapo angekuja kuzaliwa mtoto ambae sio wangu igeuma mara dufu!
Neylu...tatizo sio mtoto wala mimba! kwa nini hakuwa mkweli? angesema waziwazi kama mimi sikuficha lolote! naamin kunavitu hupaswi kuongea uongo hata kidogo. upendo ni kama nguo nyeupe tone 1 la mkaa linagarama kubwa sana kulitoa. hakuwa mkweli.
Kitanda hakizai haramu bana....................... Beba mzigo huo. mtoto mali yako..............................LOL
angalia ukurasa wa kwanza!Mbona Kama vile story haijaisha? Endelea basi baada ya hapo kiltokea nini?
Mtambuzi ni kweli lakini ngumu kumeza lol......yaani kaka wa watu aanze kulea 1st born ambae sio wa kwake? Hii haikubaliki bana!Kitanda hakizai haramu bana....................... Beba mzigo huo. mtoto mali yako..............................LOL
huyu ni kama miezi miwili kasoro na nilijuwana nae kupitia JF mwenzi wa 7 mwaka huu.
mmhh sasa kwa muda huo tuu ndo mmeshafikia hadi kuchumbiana?? ok tuyaache,, ni hivi basi nakushauri umuoe as hajakucheat huyo umemkuta na hiyo mimba na labda hakukwambia kwakua alikupenda na aliogopa kukupoteza
sweetlady inawezekana wewe hujui nini maana ya kupenda............ Kama mtu kakolea hawezi kuona hiyo mimba, kwani ni ugonjwa....? Mie kuna jamaa niliwahi kuishi naye jirani, alioa binti aliyekuwa na mimba aliyetelekezwa na sasa wana almost miaka mitano ya ndoa na jamaa alipandikiza mtoto wake baada ya mke kujifungua na sasa wana watoto wawili.................. wewe unaongea nini bana..................!Mtambuzi ni kweli lakini ngumu kumeza lol......yaani kaka wa watu aanze kulea 1st born ambae sio wa kwake? Hii haikubaliki bana!
Anne Maria hivi inamtakiwa kujuana kwa muda gani ili mtu afanye uamuzi wa kuchumbia........?mmhh sasa kwa muda huo tuu ndo mmeshafikia hadi kuchumbiana?? ok tuyaache,, ni hivi basi nakushauri umuoe as hajakucheat huyo umemkuta na hiyo mimba na labda hakukwambia kwakua alikupenda na aliogopa kukupoteza
Mtambuzi hiyo ya huyo jamaa yako ni tofauti na hii.....huyo alimkuta binti katelekezwa na akampenda na mimba yake....huyu wa luku yuko na luku na bado akabeba ujauzito wa mtu mwingine!sweetlady inawezekana wewe hujui nini maana ya kupenda............ Kama mtu kakolea hawezi kuona hiyo mimba, kwani ni ugonjwa....? Mie kuna jamaa niliwahi kuishi naye jirani, alioa binti aliyekuwa na mimba aliyetelekezwa na sasa wana almost miaka mitano ya ndoa na jamaa alipandikiza mtoto wake baada ya mke kujifungua na sasa wana watoto wawili.................. wewe unaongea nini bana..................!
Hukuwa na haja ya kuja hapa kuomba ushauri kama ulikuwa unajua kuwa kitanda kinazaa haramu siku hizi.........ni usemi tu huo ambao babu zetu waliamini hilo................. leo kina zaaa haram.
Inawezekana ni bahati mbaya tu....... haiyumkini ilikuwa ni one night stand.......................LOLMtambuzi hiyo ya huyo jamaa yako ni tofauti na hii.....huyo alimkuta binti katelekezwa na akampenda na mimba yake....huyu wa luku yuko na luku na bado akabeba ujauzito wa mtu mwingine!
Anne Maria hivi inamtakiwa kujuana kwa muda gani ili mtu afanye uamuzi wa kuchumbia........?
muda maalum hakunaga lakini kiukweli mwezi 1 is too soon kwangu mimi walau miezi 6.... ila huo ni mtizamo wangu tuuu muda mrefu unaweza kukupa muda wa kumfahamu mwenzio vizuri zaidi
Inawezekana ni bahati mbaya tu....... haiyumkini ilikuwa ni one night stand.......................LOL