jamani.....!!!! jamani.....!!!!

jamani.....!!!! jamani.....!!!!

habari za leo wana jamii..??? dah sijuwi hata nianzie wapi..! ila ukishangaa ya Musa utashangaa ya firauni! kama unavojuwa ilikuwa tarehe 18-8-2012 ilikuwa namvisha pete mtarajiwa, alifika hapa zenji tarehe 16 usiku tulipanga siku iliyo fuata yani tarehe 17 twende kupima afya zetu. hatujawahi kunfanya tedo la ndoa hata cku 1 sikupenda kufanya mapenzi kwahofu maana ukiwa na hofu huwezi faidi mahaba.tulifika hosbital ya JWTZ ipo bububu hapa zenji. vipomo nikama hivi H I V poa uzazi ana mimba ya miezi 3

Mbona Kama vile story haijaisha? Endelea basi baada ya hapo kiltokea nini?
 
asante ila nimefarijika sana kujuwa haya mapema nahisi ingeniuma sana endapo angekuja kuzaliwa mtoto ambae sio wangu igeuma mara dufu!

Pole sana unajua hakua sehem m2 anatakiwa kuwa makini km eneo ili la ndoa kwe2 wakristo hurusiwa kuacha endapo mmefunga ndoa, inatakiwa umakini wa ali ya juu na sio kukurupuka, wewe MUNGU amekuepusha sara kua makini sana na muombe Mungu sana juu ya jambo hili.
 
Kitanda hakizai haramu bana....................... Beba mzigo huo. mtoto mali yako..............................LOL
 
Neylu...tatizo sio mtoto wala mimba! kwa nini hakuwa mkweli? angesema waziwazi kama mimi sikuficha lolote! naamin kunavitu hupaswi kuongea uongo hata kidogo. upendo ni kama nguo nyeupe tone 1 la mkaa linagarama kubwa sana kulitoa. hakuwa mkweli.
 
Kitanda hakizai haramu bana....................... Beba mzigo huo. mtoto mali yako..............................LOL

ni usemi tu huo ambao babu zetu waliamini hilo................. leo kina zaaa haram.
 
Jiweke pembeni ndugu manake huyo wala hakufai.............mwache aende kwa huyo mwenye huo mzigo!
 
Pole sana ustadh luku_77.

Yaani hebu fikiria timu yako inaingia uwanjani kucheza mechi, halafu ukiangalia kushoto pale juu ubao wa matokeo unasomeka 3-0! yaani mshapigwa mabao hata kabla pambano halijaanza. Je, mtaendelea na mechi au?

Ok, kazi ya kichwa si kufuga nywele na kushinda saluni. So:
1. Mshukuru Mungu kwa kukuepusha na mabalaa ambayo yangekukuta NDANI YA NDOA.
2. Anza upya fasta, wapo weeeengi hapo nje.

Eid Mubarak!
 
Kitanda hakizai haramu bana....................... Beba mzigo huo. mtoto mali yako..............................LOL
Mtambuzi ni kweli lakini ngumu kumeza lol......yaani kaka wa watu aanze kulea 1st born ambae sio wa kwake? Hii haikubaliki bana!
 
Last edited by a moderator:
sawa na mwanafunzi aliepewa mtihani akaona majibu yote anayajua
akaamua kutokuandika kitu kumshangaa mwalimu kwa kutunga mtihani mrahisi
sidhani kama hapo kuna cha kukushauri wakati majibu yote unayo.
kazi kwako kusuka ama kunyoa
 
Mtambuzi ni kweli lakini ngumu kumeza lol......yaani kaka wa watu aanze kulea 1st born ambae sio wa kwake? Hii haikubaliki bana!
sweetlady inawezekana wewe hujui nini maana ya kupenda............ Kama mtu kakolea hawezi kuona hiyo mimba, kwani ni ugonjwa....? Mie kuna jamaa niliwahi kuishi naye jirani, alioa binti aliyekuwa na mimba aliyetelekezwa na sasa wana almost miaka mitano ya ndoa na jamaa alipandikiza mtoto wake baada ya mke kujifungua na sasa wana watoto wawili.................. wewe unaongea nini bana..................!
 
Last edited by a moderator:
mmhh sasa kwa muda huo tuu ndo mmeshafikia hadi kuchumbiana?? ok tuyaache,, ni hivi basi nakushauri umuoe as hajakucheat huyo umemkuta na hiyo mimba na labda hakukwambia kwakua alikupenda na aliogopa kukupoteza
Anne Maria hivi inamtakiwa kujuana kwa muda gani ili mtu afanye uamuzi wa kuchumbia........?
 
Last edited by a moderator:
sweetlady inawezekana wewe hujui nini maana ya kupenda............ Kama mtu kakolea hawezi kuona hiyo mimba, kwani ni ugonjwa....? Mie kuna jamaa niliwahi kuishi naye jirani, alioa binti aliyekuwa na mimba aliyetelekezwa na sasa wana almost miaka mitano ya ndoa na jamaa alipandikiza mtoto wake baada ya mke kujifungua na sasa wana watoto wawili.................. wewe unaongea nini bana..................!
Mtambuzi hiyo ya huyo jamaa yako ni tofauti na hii.....huyo alimkuta binti katelekezwa na akampenda na mimba yake....huyu wa luku yuko na luku na bado akabeba ujauzito wa mtu mwingine!
 
Last edited by a moderator:
ni usemi tu huo ambao babu zetu waliamini hilo................. leo kina zaaa haram.
Hukuwa na haja ya kuja hapa kuomba ushauri kama ulikuwa unajua kuwa kitanda kinazaa haramu siku hizi.........
 
Mtambuzi hiyo ya huyo jamaa yako ni tofauti na hii.....huyo alimkuta binti katelekezwa na akampenda na mimba yake....huyu wa luku yuko na luku na bado akabeba ujauzito wa mtu mwingine!
Inawezekana ni bahati mbaya tu....... haiyumkini ilikuwa ni one night stand.......................LOL
 
Inawezekana ni bahati mbaya tu....... haiyumkini ilikuwa ni one night stand.......................LOL

Hahahahaha lol........sasa si ajieleze basi kwa mwenzei ili amwelewe kuwa nini kilimsibu ........yeye hata simu hataki kupokea lol
 
mshukuru mungu na hongera, ushauri mbona uko wazi? nu utekelezaji wako tu,,,,,(si kakimbia? we msahau)
 
Back
Top Bottom