Naombeni kujua kama kuna dawa ya kutibu jino bila kuling'oa. Kuna wakati nilinda kwa dentist akaniambia kuwa kuna jino linaota na hivyo linaugandamiza ufizi akaishia kunipa dawa za kutuliza maumivu. Now hali imejirudia yaani niko bored full kuumia.
Mods msihamishe hii post kwa sababu kwenye jukwaa la doctor respond yake ni ndogo sana halafu mimi naugulia maumivu

kama linaota siyo jino la kung'oa, jino la kungoa either limeota horizontal or limetoboka, pata kwanza x-ray yake then utajua linaotaje, then kama linakandamiza ufizi huwa wanafanya kitu kinaitwa flapectomy(kama sijakosea) wanaondoa hicho kinyama kupisha jino liote vizuri.
Nenda pale muhi2 dental section muulizie shah(muhindi) i thnk mayb ni intern dr alikua, ndo alinitengeneza jino zote mbili, moja ilikua ya flapectomy na lingine lilikua la kungoa coz liliota kwa kulala.
Mkuu mimi ni over 25 kwani vipi?
Kumbe bado waota meno? Kama limetoboka inakubid ulitoe. Ila kama halijatoboka we vumilia tu.
Pole sana nitonye! Hakuna dawa ya jino lililoharibika zaidi ya kung'oa. Kama ni kuota nenda hosp ukarekebishwe dental fomula. Hata hivyo unaonekana bado bwana mdogo sana kama bado unaota meno!