Jamani JINO linaninyima raha nipe msaada

Jamani JINO linaninyima raha nipe msaada

nitonye

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2011
Posts
7,342
Reaction score
3,885
jamani kama kuna dawa ambayo unaweza kutibu jino bila kuhitaji kuling'oa. Nilishawahi kwenda kwa dokta akaniambi kuna jino linaota then linaukandamiza ufisi akaishia kunipa dawa za kutuliza maumivu sasa hali imejirudia. Niko bored sana
 
Mi nilikuwa najua dawa moja tu ya kung'oa b'ze hutaki hii dawa, basi tena...
 
Mi nilikuwa najua dawa moja tu ya kung'oa b'ze hutaki hii dawa, basi tena...

Pole,
ila ushauri wa bure ambao ndio suluhisho la kudumu ni kung'oa kwani kama ulivyoambia wa Dr.kuna jino lingine linaota juu ya lingine wategemea nini. Acha woga nenda kapate tiba kwa Dr. mzuri wa meno ukitilia maanani kwamba dosari ya kukata mshipa mdomoni kimakosa itakusababishia tatizo la kichwa.
 
Dawa ya jino ni kung'owa huo ndio ukweli, ila ukishang'oa tumia dawa ya DFP Dental Fomural Power na ugonjwa wa meno kwako itakuwa ni Historia kama ilivyo kwangu.
 
Tumia diclofenac 100mg usiku wa leo, kesho nenda hospitali kwenye clinic ya Meno, Muhimbili (first track) au clinic nyingine nzuri waone tatizo ni nini! Si lazima kung'olewa jino hasa kwa utaalamu uliopo sasa, inategemea tatizo lako ni nini! Usiku mwema.
 
jamani kama kuna dawa ambayo unaweza kutibu jino bila kuhitaji kuling'oa. Nilishawahi kwenda kwa dokta akaniambi kuna jino linaota then linaukandamiza ufisi akaishia kunipa dawa za kutuliza maumivu sasa hali imejirudia. Niko bored sana

tafuta DFP itakusaidia sana
 
Back
Top Bottom